Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

.. Hujaema jambo muhimu sana katika hili. Umri wake ni gani?
Maana kama ameeingia 40 na kuendelea, yawezekana menopause imegonga hodi mapemaa!
Habari Dokta na wasomaji wote;
Nina rafiki yangu wa kike ana tatizo la kutoona siku zake/hedhi kwa zaidi ya miezi 6 sasa.

Historia ya tatizo hili;
1. Aliwahi kwenda mkoa wa joto na baada ya kurudi mkoa wa baridi alikosa hedhi miezi 3
Hii ilijitokeza mara 2.

2. Tatizo hili limejirudia baada ya kuharibika kwa ujauzito Novemba 2019.
Baada ujauzito kuharibika alitokwa na damu karibu siku 6, ndipo siku ya 7 alirudi hospital na wakamsafisha tena.
Kuanzia wakati huo Novemba meishoni 2019 hadi sasa Mei 2020 hajaona siku zake.
Je! Nini linaweza kuwa tatizo?

financial services
Carleen
Miss Natafuta
Nifah
Sky Eclat
Shunie
@shedaya
Jael Sakayo Makiseo @younglood
Wote mnakaribishwa kushauri

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom