Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 17,895
- 25,945
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kicha kinavyosomeka hapo juu
Mimi naomba kuuliza hivi ni vigezo gan vilitumika had NOT YA ELF KUMI AKAWEKWA TEMBO WALA SI SIMBA
Wote tunajua fika kuwa simba ndo mfalume wa nyika kwanini awekwe tembo ambaye si mfalme na wasiweke simba?
Naomba kujua ndugu zangu
LONDON BABY niko maputo sau dos