Mjadala kitu kilisababisha awekwe tembo wala si simba

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,944
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kicha kinavyosomeka hapo juu

Mimi naomba kuuliza hivi ni vigezo gan vilitumika had NOT YA ELF KUMI AKAWEKWA TEMBO WALA SI SIMBA

Wote tunajua fika kuwa simba ndo mfalume wa nyika kwanini awekwe tembo ambaye si mfalme na wasiweke simba?

Naomba kujua ndugu zangu
IMG-20171111-WA0007.jpeg

LONDON BABY niko maputo sau dos
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kicha kinavyosomeka hapo juu

Mimi naomba kuuliza hivi ni vigezo gan vilitumika had NOT YA ELF KUMI AKAWEKWA TEMBO WALA SI SIMBA

Wote tunajua fika kuwa simba ndo mfalume wa nyika kwanini awekwe tembo ambaye si mfalme na wasiweke simba?

Naomba kujua ndugu zanguView attachment 628987

LONDON BABY niko maputo sau dos
umeamua kurudi kwa basi toka london?kweli maisha magumu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom