Mjadala - Kitabu cha unyama wa Paul Kagame: Behind the Presidential Curtain: Inside Out of real Paul Kagame

He's not normal


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu asante sana kwa andiko zuri binafsi naamini katika uzi huu na ntajifunza mengi kupitia kitabu hiki maana tayari nnacho ombi langu kwa Mods kama wanaweza kukitafasiri kwa lugha yetu adhimu ya kiswahili ili watanzania wengi tuweze kutambua kwa Kina nini kinaendelea kwa dikteta huyu ambae tunaaminishwa kua ni mtu na kiongozi mzuri katika ukanda huu wa Africa ya mashariki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa sasa yanatokea huku kuna kundi linaamini jiwe ni mungu mtu baadhi ya wabunge wameanza kampeni ya kumuongezea muda wanaopinga wanaitwa wasaliti jamaa anaiga mambo ya rwanda watanzania tuwe macho hapa sasa kuna funzo picha limeanza kuja
 
Hivi kabla hamjaanza kushangilia yaliomo kwenye hicho kitabu mnamjua aliekiandika ni nani kwanza? Huyo jama Marara kweli alikua kati kikosi cha kumlinda raisi na alikua dereva katika miaka hio ya mwishoni 90's alikua anaendesha vifaru walivhoachiwa na UN kwa ajili ya usalama wa viongozi. Kwa vile alikua uneducated young man hakua anakaa na senior officers mpaka ahadisiwe kinachoendelea. Alitimuliwa jeshini na kukimbia nchi na huko ulaya aliko anatafuta attention tu watu kwani ameshakosana na aliokimbia nao wengi huko ughaibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni senior officer?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je Wakati anaadhibiwa mbele ya umati ilielezwa kuwa sababu ya adhabu ni yeye kushindwa kutekeleza kazi ya mauaji alopewa?
 
Mauaji in the name of uzalendo na usalitiKUMBE hlaya na hapa kwetu hhkaya maneno Wasaliti marafiki wa mabeberu ......Ukisoma hiki kitabu vizuzi mwandishi anadai hata majengo mengi marefu Kigali ni ya kagame,inasemekana ni fisadi mkuu ila mjanja sana wa Public Relation haswa kimataifa, kajitengenezea image ya UMUNGU MTU,hata mwandishi anakiri yeye pia alifanya mabaya akijua ana serve nchi
yaani hata wauaji wa kagame wanaua kwa furaha wakiamini wanaua wasaliti wa nchi yao na hakuna mtu kama kagame,wkao ni kama Mungu mtu na wafuasi wake wanaamini hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…