Mjadala - Kitabu cha unyama wa Paul Kagame: Behind the Presidential Curtain: Inside Out of real Paul Kagame

Jamaa ni katili sana ,nakumbuka kwny kitabu,kagame alikuwa anaendesha gari bahati mbaya akatapika ,sasa marara alikuwa nae ikabidi kagame asimamishe gari,akajifanya anaenda short call,huku marara anasafisha seat ,ile kurudi kagame akakuta jamaa anamalizia kupolish seat,kagame alimpiga kiwiko cha jicho full kuvimba kisa anamchelewesha,yaan jamaa hana shukrani ,nahisi huyu jamaa ana mental disorder syo kwa kuua huko
He's not normal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu asante sana kwa andiko zuri binafsi naamini katika uzi huu na ntajifunza mengi kupitia kitabu hiki maana tayari nnacho ombi langu kwa Mods kama wanaweza kukitafasiri kwa lugha yetu adhimu ya kiswahili ili watanzania wengi tuweze kutambua kwa Kina nini kinaendelea kwa dikteta huyu ambae tunaaminishwa kua ni mtu na kiongozi mzuri katika ukanda huu wa Africa ya mashariki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa sasa yanatokea huku kuna kundi linaamini jiwe ni mungu mtu baadhi ya wabunge wameanza kampeni ya kumuongezea muda wanaopinga wanaitwa wasaliti jamaa anaiga mambo ya rwanda watanzania tuwe macho hapa sasa kuna funzo picha limeanza kuja
 
Hivi kabla hamjaanza kushangilia yaliomo kwenye hicho kitabu mnamjua aliekiandika ni nani kwanza? Huyo jama Marara kweli alikua kati kikosi cha kumlinda raisi na alikua dereva katika miaka hio ya mwishoni 90's alikua anaendesha vifaru walivhoachiwa na UN kwa ajili ya usalama wa viongozi. Kwa vile alikua uneducated young man hakua anakaa na senior officers mpaka ahadisiwe kinachoendelea. Alitimuliwa jeshini na kukimbia nchi na huko ulaya aliko anatafuta attention tu watu kwani ameshakosana na aliokimbia nao wengi huko ughaibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kabla hamjaanza kushangilia yaliomo kwenye hicho kitabu mnamjua aliekiandika ni nani kwanza? Huyo jama Marara kweli alikua kati kikosi cha kumlinda raisi na alikua dereva katika miaka hio ya mwishoni 90's alikua anaendesha vifaru walivhoachiwa na UN kwa ajili ya usalama wa viongozi. Kwa vile alikua uneducated young man hakua anakaa na senior officers mpaka ahadisiwe kinachoendelea. Alitimuliwa jeshini na kukimbia nchi na huko ulaya aliko anatafuta attention tu watu kwani ameshakosana na aliokimbia nao wengi huko ughaibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni senior officer?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukurasa huohuo(73) mwandishi Marara anasema Ingawa kuna watu walikufa kwenye hilo shambulizi hotelini wakiwa wanaangalia kombe la dunia,Kagame alikasirika sana sbabu halikwenda kama alivyo plan sababu ya uzembe wa captain kwizera liyekuwa amelewa hivyo akagiza fimbo za kutosha na alitoa presidential jeep yake kwenda kuchukua hizo fimbo,akwaagiza luteni Nkubito na Aimee claude kumcharaza Kwizera fimbo 100,akashuhswa cheo na kuswekwa ndani baadaye akafukuzwa jeshini

Despite the number of casualties, Kagame was not happy because the plan did not go the way it had been hatched. He summoned to himself Capt. Kwizera in the officers’ mess, sent his own presidential jeep to collect sticks and beat Captain Kwizera. I was on Kagame’s convoy had seen with my eyes, Kagame was chasing us to bring sticks; he ordered SGT Aimee Claude and LT Joseph Nkubito to beat Kwizera. The captain was given 100 strokes, demoted to the rank of private and put behind bars until he was dismissed from the army. This was done in public and many people watched the scene.
Je Wakati anaadhibiwa mbele ya umati ilielezwa kuwa sababu ya adhabu ni yeye kushindwa kutekeleza kazi ya mauaji alopewa?
 
Mauaji in the name of uzalendo na usalitiKUMBE hlaya na hapa kwetu hhkaya maneno Wasaliti marafiki wa mabeberu ......Ukisoma hiki kitabu vizuzi mwandishi anadai hata majengo mengi marefu Kigali ni ya kagame,inasemekana ni fisadi mkuu ila mjanja sana wa Public Relation haswa kimataifa, kajitengenezea image ya UMUNGU MTU,hata mwandishi anakiri yeye pia alifanya mabaya akijua ana serve nchi
yaani hata wauaji wa kagame wanaua kwa furaha wakiamini wanaua wasaliti wa nchi yao na hakuna mtu kama kagame,wkao ni kama Mungu mtu na wafuasi wake wanaamini hilo
 
49 Reactions
Reply
Back
Top Bottom