witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,710
- 47,099
Ni noma eeeh???...dadeeki nakisoma choteNipo chapter 3 Mkuu, so far unaweza kulia.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni noma eeeh???...dadeeki nakisoma choteNipo chapter 3 Mkuu, so far unaweza kulia.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Dumelang kwa tamko lako Serikali yetu inaendeshwa kama inavyoendeshwa Serikali ya Kagame, ni kweli?? Aisee!!!Saiz yupo wapi huyo mlinzi?
Kwaio saiz PK anakuwa karibu ma Pogba magu kuna kitu anakusudia?
Dumelang
He's not normalJamaa ni katili sana ,nakumbuka kwny kitabu,kagame alikuwa anaendesha gari bahati mbaya akatapika ,sasa marara alikuwa nae ikabidi kagame asimamishe gari,akajifanya anaenda short call,huku marara anasafisha seat ,ile kurudi kagame akakuta jamaa anamalizia kupolish seat,kagame alimpiga kiwiko cha jicho full kuvimba kisa anamchelewesha,yaan jamaa hana shukrani ,nahisi huyu jamaa ana mental disorder syo kwa kuua huko
Hasishikwe masikio sawa lakini hasiwe kama huyo rafiki yake.Habari Nzuri Sana.
Mwisho wa hawa watu,huwa Ni Mbaya SANAA
LAKINI na Hakika Tz,Tuna la Kujifunza LAKINI pia,
Idara yetu ipo njema na sidhani Kama Jiwe ataweza kushikwa masikio
Sent using Jamii Forums mobile app
Huonagi wale walinzi wenye bunduki?Habari Nzuri Sana.
Mwisho wa hawa watu,huwa Ni Mbaya SANAA
LAKINI na Hakika Tz,Tuna la Kujifunza LAKINI pia,
Idara yetu ipo njema na sidhani Kama Jiwe ataweza kushikwa masikio
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa na walinzi c sababu.Huonagi wale walinzi wenye bunduki?
Kama huna macho shirikisha hata masikio!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni senior officer?Hivi kabla hamjaanza kushangilia yaliomo kwenye hicho kitabu mnamjua aliekiandika ni nani kwanza? Huyo jama Marara kweli alikua kati kikosi cha kumlinda raisi na alikua dereva katika miaka hio ya mwishoni 90's alikua anaendesha vifaru walivhoachiwa na UN kwa ajili ya usalama wa viongozi. Kwa vile alikua uneducated young man hakua anakaa na senior officers mpaka ahadisiwe kinachoendelea. Alitimuliwa jeshini na kukimbia nchi na huko ulaya aliko anatafuta attention tu watu kwani ameshakosana na aliokimbia nao wengi huko ughaibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Je Wakati anaadhibiwa mbele ya umati ilielezwa kuwa sababu ya adhabu ni yeye kushindwa kutekeleza kazi ya mauaji alopewa?Ukurasa huohuo(73) mwandishi Marara anasema Ingawa kuna watu walikufa kwenye hilo shambulizi hotelini wakiwa wanaangalia kombe la dunia,Kagame alikasirika sana sbabu halikwenda kama alivyo plan sababu ya uzembe wa captain kwizera liyekuwa amelewa hivyo akagiza fimbo za kutosha na alitoa presidential jeep yake kwenda kuchukua hizo fimbo,akwaagiza luteni Nkubito na Aimee claude kumcharaza Kwizera fimbo 100,akashuhswa cheo na kuswekwa ndani baadaye akafukuzwa jeshini
Despite the number of casualties, Kagame was not happy because the plan did not go the way it had been hatched. He summoned to himself Capt. Kwizera in the officers’ mess, sent his own presidential jeep to collect sticks and beat Captain Kwizera. I was on Kagame’s convoy had seen with my eyes, Kagame was chasing us to bring sticks; he ordered SGT Aimee Claude and LT Joseph Nkubito to beat Kwizera. The captain was given 100 strokes, demoted to the rank of private and put behind bars until he was dismissed from the army. This was done in public and many people watched the scene.
pakua kitabu ujisomeeJe Wakati anaafhibiwa mbele ya umati ilielezwa kuwa sababu ya adhabu ni yeye kushindwa kutekeleza kazi ya mauaji alopewa?