kupukupu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2016
- 485
- 1,052
Sasa huo usawa utapatikana vipi Kwa huu mtifuano unaoendelea Kati Yao wenyewe?Na hili likifanyiwa kazi ....kama kutakuwa na usawa kati ya hivi 2 simba itakuwa ni giant
Hawa Wana mda mrefu Sana wa kuelewana, Sisi kazi yetu NI kuchochea kuni tu Hali iwe mbaya zaidi