Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 15,784
- 24,215
Salaam Wana jf
Kama mchambuzi mahiri hapa mjini JF toka jana nilikuwa naumiza kichwa kutokana na tuzo tuliyopata Watanzania ya Ushabiki Bora wa michuano ya Super League lakini nimefanikiwa kupata hizi tentative suggestions kama ifuatavyo:
a) Simba tulitumika kama daraja (washereheshaji)
Since hata kwenye sherehe za harusi lazima wakodi matarumbeta, kwa hiyo katika bonanza hili la CAF, Simba walishiriki kama wapiga matarumbeta tu katika harusi.
b) Mashabiki wa Simba wapo makini, well motivated kuliko wachezaji na viongozi wa pale ukoloni.
C) Tumeonewa huruma (tumepewa tuzo kama kifuta machozi)
d) A, B na C yote sawa!
NB: Kwako unadhani Tuzo ya Mashabiki Bora tuliyopata wanachama Simba inamaana gani?