Tumtakie kijana kazi njema kwa waajiri wake wapya.Cannavaro anamchango mkubwa sana kwenye timu, kwa hivyo angestairi dau kubwa zaidi , isitoshe pamoja na uzuri wa niyonzima lkn hakuwa anacheza full time Mara nyingi alitokea benchi au alitoka kabla ya muda ..so bado hana athali kuubwa kwa yanga
huwezi kusema Christiano Ronaldo kushinda Ballon dor ndo mchezaji mzuri zaidi duniani sema yeye anafunga ila huwezi kumtaja Ronaldo bila kuwataja kina Modric,Isco,KroosAcheni kujifariji kwa vitu visivyo na msingi. Haruna kacheza mechi ngapi msimu huu? Cannavaro naye? Kuna wageni wagapi VPL na ni nani mchezaji bora wa kigeni kati yao wote? Hebu iangalie Yanga ya msimu huu ambayo wachezaji wengi walishuka kiwango, jaribu kuondoa Haruna na Msuva, kuna kitu gani ambacho Yanga wangevuna mwaka huu?
Tujifunze kuthamini michango ya wachezaji na kuwatakia kila la heri wanapoondoka hasa kama wameondoka kwa heshima kama huyu ambaye ameonyesha kuithamini Yanga na kuipa nafasi ya kwanza ktk majadiliano ya mkataba hadi pale iliposhindikana. Hata Simba wanajaribu kubeza mchango wa Ajibu, ni kujifariji tu
Anza nidhamu,uzoefu,kujituma uwanjani Canavaro hana mfano hapa TanzaniaCHOMA JEZI FC wanasema Canavaro
Kapata dau kubwa mwache aende mpira ndo ajira yake wengi waliamini Kavumbagu,Domayo wakiondoka Yanga chama litayumba ila sio kweliJana Niyonzima alikuwa ni jembe wala hawezi kuondoka Yanga, Leo: Niyonzima aende tu kwanza alikuwa hachezi mda wote, Kweli Akili za Yanga ni za Makinikia.
huwezi kusema Christiano Ronaldo kushinda Ballon dor ndo mchezaji mzuri zaidi duniani sema yeye anafunga ila huwezi kumtaja Ronaldo bila kuwataja kina Modric,Isco,Kroos
Hatukatai is among of the best player ndo manaa nikasema mjadala huru your free to express your feeling ila Yanga itaendelea kuwepo
Hongera kwa usajili mzuri kama ni mapendekezo ya Omog au ndo ile kila mtu anasajili mchezaji wake
Anza nidhamu,uzoefu,kujituma uwanjani Canavaro hana mfano hapa Tanzania
Niyonzima kwa vyenga,Kanzu kutuliza spidi ya wapinzani anafaa ila sio mzuri kwa final passes pasi zake nyingi ni square/pasi za pembeni
ila hongera mtani kunasa jembe
CHOMA JEZI FC wanasema Canavaro
Sio hatutakosa mbadala wake!Nadir haroub...
Haruna Niyonzima najua hatutakosa mbadala wake
nahisi kama amepungua kiwango hivi..ila ngoja arudi nadhani atakuwa ameimproveSio hatutakosa mbadala wake!
Kwani KAMUSOKO anacheza nafasi ipi?
No kamusoko alichoka amecheza bila kupumzikanahisi kama amepungua kiwango hivi..ila ngoja arudi nadhani atakuwa ameimprove
yeah mkuuNo kamusoko alichoka amecheza bila kupumzika