Mjadala: Hivi kwanini Lowassa asipelekwe kwenye mahakama ya mafisadi? Bunge ni mahakama?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,885
Habari wadau!

Naomba tujadili mahakama ya mafisadi ishaanzishwa nilidhani kesi za huko nyuma zikiwemo, Meremeta, Kiwira, Dowans, Richmond, Lugumi kwanink serikali isifungue kesi mahakama ya mafusadi?

Mwakyembe anavyodai irudishwe bungeni wakati wao ndio wanaserikali kwanini hawafanyi?

Wapinzani mara ngapi wanapeleka hoja kwa wingi wao wanaupiga chini?

Nauliza nani mwenye mamlaka ya kuibua hii hoja na hoja za nyuma?
 
Mwakyembe bwana!
Nimemshangaa leo amekuwa mbogo wakati juzi tu alikuwa waziri wa katiba na sheria akasema mahakama ya mafisadi imekosa watu!
Leo tena unataka kutuaminisha lowasa fisadi
 
Le Mwakiwembez.
Kwanza wao wenyewe nyinyiem waliuzima huo mjadalala kihuni sana.
Waurudishe wenyewe
 
Back
Top Bottom