permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,472
- 15,276
hahaha. basi tuko pamoja, na huo ndio ulikuwa msimamo wangu tangu awali na nilikuwa namlaumu mallya kwanini hakumshauri gwajima akatae kutoa maelezo ili awambie mimi nitatoa mahakamani wakati wa defence yangu. that way nafikiri tuko pamoja, lakini na wewe uache majigambo kwamba una hala sijui senior tls...unakuwa unaonekana mshamba. unaposema mimi nimezeeka na sina hela, mimi siwezi kujidisclose kama unavyofanya wewe nisije kufanana akili na wewe. tufunge mjadala na wewe.bye.
jibu ni rahisi tu, walikuwa hawajui kuwa wanayo haki ya kutoa maelezo kwa hiazri, its hiari kutoa maelezo sio lazima. lack of knowledge ndio ilisasbabisha waendelee kujianika wee maisha ya gwajima hadi sasa wamefikia kutaka kufunguliwa makosa mengine kwasababu ya kosa walilolifanya mwanzo ambalo mwanasheria wake alikuwa mchanga kujua. hata wewe ungekuwa pale ungefanya kama alivyofanya mallya. hivyo nakuweka naye kwenye group moja.
pole. haujui kitu. na sitajadili hii topic kwasababu haina faida (topic ya taskforce) na haikuwa moja ya hoja za thread. bye.
kama walikuwa wanayajua, hasahasa faida ya kukaa silent, kwanini hawakukaa silent? ok, tunaweza kusema kuwa siku ya kwanza walipitiwa kwasababu hawakuwa wanajua wanaenda kuhojiwa kwaajili ya kumtusi pengo au mambo ya usajili wa kanisa na umiliki wa mali. je? juzi tarehe 9 waliporudi kwanini hawakujipanga akafika pale akasema nimeamua kuremain silent, sitatoa maelezo tena kama mnaona nina kosa nitajieleza mahakamani wakati wa kujitetea....hapo lazima kuna maelezo ya nyoongeza yameshaandikwa kuhusiana na umiliki wa mali namna sadaka zinavyotumiwa na mambo mengi na polisi wanatafuta sababu ya kumpachika na kosa either la money laundering au drug trafficking....sawa wao hawakuwa na knowledge hiyo, na walikuwa na muda mrefu sana wa kujipanga kabla ya tarehe 9 waliyorudi tena na kupewa hiyo list ya vitu vya kuleta. hauoni kama kulikuwa na uzembe upande wa mwanasheria kweli hapo?Mkuu Hute nitake radhi
Mimi hauwezi kuniweka kundi la hao.
Mi toka nakua naona kwenye vibanda vya video mtu akikamatwa lazima aambiwe haya:
1.You have the right to remain silent till you are in the court of law.
2. Whatever you say or explain will be taken as evidence in the court of law.
3. You have the right to be represented by your lawyer.
Sasa inamaanisha Askofu na wakala wake hawakuyajua yote haya au ni wewe tu unajifanya mjanja na wao unawafanya wajinga mkuu Hute?
MKUU upo sahihi. lakini soma pia kifungu cha 53 halafu tujadili na hicho pia.Mkuu, hebu soma CPA Section 10(4)
(4) Utakuwa ni wajibu wa afisa polisi kabla ya kumhoji mtu kumweleza mtu huyo kuwa anawajibika kuyajibu kwa ukweli maswali yote yanayohusiana na kesi atakayoulizwa naye na kwamba hawezi kukataa kujibu swali lolote kwa sababu tu swali hilo lina mwelekeo wa kumhatarisha wazi katika shitaka la jinai, adhabu au kunyang'anywa mali yake.
kwa nini ukatae kuhojiwa? au kila siku uwe unaenda polisi, ikiwezekana unyimwe dhamana mpaka utakapokuwa tayari kujibu maswali ya mpelelezi. maana utakuwa unataka ugomvi na sio kutafta haki tena
mimi pamoja na uelewa wangu mdogo nafahamu kesi haiwezi kwenda mahakamani bila mtuhumiwa kuhojiwa.nimesoma comment hizi hapa kwenye thread kwa makini nimegundua kwenye kutoa ushauri watu wanatumia jabza sana ambaye anajua kidogo hataki afundishwe zaidi.
Mkuu, hebu soma CPA Section 10(4)
(4) Utakuwa ni wajibu wa afisa polisi kabla ya kumhoji mtu kumweleza mtu huyo kuwa anawajibika kuyajibu kwa ukweli maswali yote yanayohusiana na kesi atakayoulizwa naye na kwamba hawezi kukataa kujibu swali lolote kwa sababu tu swali hilo lina mwelekeo wa kumhatarisha wazi katika shitaka la jinai, adhabu au kunyang'anywa mali yake.
kwa nini ukatae kuhojiwa? au kila siku uwe unaenda polisi, ikiwezekana unyimwe dhamana mpaka utakapokuwa tayari kujibu maswali ya mpelelezi. maana utakuwa unataka ugomvi na sio kutafta haki tena
mimi pamoja na uelewa wangu mdogo nafahamu kesi haiwezi kwenda mahakamani bila mtuhumiwa kuhojiwa.nimesoma comment hizi hapa kwenye thread kwa makini nimegundua kwenye kutoa ushauri watu wanatumia jabza sana ambaye anajua kidogo hataki afundishwe zaidi.
wakifika hao ndipo atapewa haki ya kutoa maelezo kwa hiari. kama hawakuwepo wakifika that means polisi anaanza mwanzo kabisa kwa kujitambulisha, kutaja cheo chake, kumpa haki kuwa halazimishwi kutoa maelezo na kumpa alart kuwa maelezo yatakayoandikwa siku moja yanaweza kuja kutumika kama ushahidi dhidi yake mahakamani, theni anaendelea kuanzika maelezo. sasa kama suspect atahiari kutoa maelezo yote analazimika kuyatoa ya kweli yasiyo ya uongo kwasababu akitoa ya uongo anaweza kushitakiwa.Je baada ya kufika ndugu au mwanasheria akigoma kuhojiwa inakuwaje atalazimishwa .
labda kuna kitu tunapishana mtu akikataa kuhojiwa kabisa polisi akata ushahidi wake akatoe mahakamani inaruhusiwa .wakifika hao ndipo atapewa haki ya kutoa maelezo kwa hiari. kama hawakuwepo wakifika that means polisi anaanza mwanzo kabisa kwa kujitambulisha, kutaja cheo chake, kumpa haki kuwa halazimishwi kutoa maelezo na kumpa alart kuwa maelezo yatakayoandikwa siku moja yanaweza kuja kutumika kama ushahidi dhidi yake mahakamani, theni anaendelea kuanzika maelezo. sasa kama suspect atahiari kutoa maelezo yote analazimika kuyatoa ya kweli yasiyo ya uongo kwasababu akitoa ya uongo anaweza kushitakiwa.
ndicho tunachoongea tangu mwanzo hapa, na mjadala umesimamia hapo. isipokuwa atatakiwa kutaja jina lake na address yake tu, ila kuhusu kuongelea kosa ambalo anatuhumiwa nalo anaweza kuamua asiseme chochote. soma icho kifungu 53 uelewe. na sheria nimeattach hapo juu haujaona? au hujadownload ili uzisome?nimeweka CPA ya kiingereza na CPA ya kiswahili. hiyo ya kiswahili haijatoa tafsiri halisi ya lengo ya hicho kifungu nafikiri watafisiri kule law reform (ambao ndio wanaotafisiri kwenda kiswahili) hawakuweka neno zuri kama ilivyo kwenye CPA ya kiingereza. try to download and compare.labda kuna kitu tunapishana mtu akikataa kuhojiwa kabisa polisi akata ushahidi wake akatoe mahakamani inaruhusiwa .
ndicho tunachoongea tangu mwanzo hapa, na mjadala umesimamia hapo. isipokuwa atatakiwa kutaja jina lake na address yake tu, ila kuhusu kuongelea kosa ambalo anatuhumiwa nalo anaweza kuamua asiseme chochote. soma icho kifungu 53 uelewe. na sheria nimeattach hapo juu haujaona? au hujadownload ili uzisome?nimeweka CPA ya kiingereza na CPA ya kiswahili. hiyo ya kiswahili haijatoa tafsiri halisi ya lengo ya hicho kifungu nafikiri watafisiri kule law reform (ambao ndio wanaotafisiri kwenda kiswahili) hawakuweka neno zuri kama ilivyo kwenye CPA ya kiingereza. try to download and compare.
huyo lawyer mwenzio hapo juu ndio mpaka sasaivi hajaelewa. sijui amesomea chuo gani? au open university masomo ya jioni.nimesoma nimeshakuelewa kwa hiyo kwenye kesi ya Gwajima kuna kosa alifanya mwanasheria wake ndo maana wanachezewa rafu hivi nimejifunza kitu kwenye hili.