weka na vifungu mzee vya sheria vinavyosema hivyo sisi wengine tunataka tujifunze pia. ni sheria ipi inasema huwezi kupelekwa mahakamani bila kuhojiwa na polisi au mlinzi wa amani?kuna marekebisho inafika hadi 58.
huwezi kupelekwa mahakani bila kuhojiwa na polisi au na mlinzi wa amani. hivyo hilo huwezi kukwepa
weka na vifungu mzee vya sheria vinavyosema hivyo sisi wengine tunataka tujifunze pia. ni sheria ipi inasema huwezi kupelekwa mahakamani bila kuhojiwa na polisi au mlinzi wa amani?
unaweza kukataa kuhojiwa, na wao wataandika amekataa kuhojiwa amesema atajieleza mahakamani. kwani ukikataa watakufanya nini? imagine kama umegoma kutoa maelezo watakufanya nini? wakikupiga ndio sababu nzuri tena wakati huo umeshaita na mwanasheria wako na ndugu wako pale halafu unawaambia polisi kuwa nitatoa maelezo yangu mahakamani, hapa sitaki kutoa maelezo.watakufanya nini?Huwezi kataa kuhojiwa, labda kama kuna haki zako zinakiukwa. na haki mojawapo ni uwepo wa mwanasheria wako
mzee wewe ni polisi? ndivyo mnavyowadanganya watu hivyo? weka vifungu vya sheria basi tuvisome.Huwezi kataa kuhojiwa, labda kama kuna haki zako zinakiukwa. na haki mojawapo ni uwepo wa mwanasheria wako
kuna marekebisho inafika hadi 58.
huwezi kupelekwa mahakani bila kuhojiwa na polisi au na mlinzi wa amani. hivyo hilo huwezi kukwepa
Vifungu vinavyohusika kuchukua maelezo ni vifuatavyo, 9,10, 50,57 na 58 vya CPA. Ni lazima mtuhumiwa akubali kutoa hayo maelezo kwani ana uwezo wa kukataa kusema chochote mpaka mbele ya hakimu. Hayakichukuliwa kwa nguvu yakifika mahakamani mtuhumiwa atayakaa chini ya kifungu cha 27 cha sheria ya ushahidi. Ila kwa kesi kubwa mtuhumiwa anabananishwa mpaka aseme yote, ukigoma chupa na pliers zitakufanya useme hata ya uongo.
hizo ni kesi kubwa kama za mauaji na ujambazi. lakini kwa kesi ya gwajima kumtukana pengo unafikiri wangefika huko? mwanasheria wake nafikiri atakuwa amejifunza kitu siku nyingine asiache mteja wake kuanikwa hivi, ukifungua mlango mmoja kwa polisi wanaongeza kosa lingine. angalia alienda pale kwaajili ya kumtukana pengo sasaivi wanataka kusachi na nyumba yake, kwa tuhuma ipi nyingine? ukifika pale si wanakwambia tuhuma yako na kuwa upo kwaajili ya kutoa maelezo kutokana na tuhuma hiyo? sasa kusachi nyumba na kanisa na kuleta hizo nyaraka ni kwa tuhuma ipi? hiyohiyo? mbona irrelevant kabisa?Vifungu vinavyohusika kuchukua maelezo ni vifuatavyo, 9,10, 50,57 na 58 vya CPA. Ni lazima mtuhumiwa akubali kutoa hayo maelezo kwani ana uwezo wa kukataa kusema chochote mpaka mbele ya hakimu. Hayakichukuliwa kwa nguvu yakifika mahakamani mtuhumiwa atayakaa chini ya kifungu cha 27 cha sheria ya ushahidi. Ila kwa kesi kubwa mtuhumiwa anabananishwa mpaka aseme yote, ukigoma chupa na pliers zitakufanya useme hata ya uongo.
ukiena kwa mlinzi wa amani kutoa extra-judicial statement procedure inayotumika ni ileile, ipo chief justice manual ambayo pia kula ukimwambia justice of the peace kuwa hautoi maelezo anaandika tu kuwa umekataa basi. habari imeishia hapo. ila labda ungeniambia wanaweza ukirudi polisi wakakutesa kwa kukuingiza chupa kwenye tigo na kukupiga kukulazimisha, lakini hata polisi nao ni wanadamu watafanya hivyo kwa makosa yale makubwa kama ya mauaji, ujambazi etc ila haya ya kubadilishana matusi na pengo unafikiri wangefika huko? hata hivyo polisi wanatia aibu kwasababu wameenda mbali sana hadi i meonekana wazi kuwa either:-si ndo maana nimesema huwezi kataa kusema wakakukubalia eti wakupeleke mahakamani bila maelezo. haiwezekani. zipo mbinu nyingi za kutoa maelezo, hadi za kutumia walinzi wa amani yaani mahakimu. utasema tu
si ndo maana nimesema huwezi kataa kusema wakakukubalia eti wakupeleke mahakamani bila maelezo. haiwezekani. zipo mbinu nyingi za kutoa maelezo, hadi za kutumia walinzi wa amani yaani mahakimu. utasema tu
angalia ndugu. mtuhumiwa anakuja kwako wewe kama polisi, unamwambia aisee gwajima upo hapa kwaajili ya kutoa maelezo kutokana na kosa ........, unaanza kumpa haki zake kama una haki ya kuita ndugu wakili au rafiki wawepo wakati wa ktuoa maelezo. hivyo hivyo haulazimishwi kwa namna yeyote ile kutoa maelezo haya bwana gwajima, na ukiyatoa yanaweza kutumika mahakamani kama ushahidi dhidi yako.Mkuu pengine ulitaka kusema chief Justice Rules na siyo manual. Mtu kuhojia polisi kwa kosa moja hawaizuii polisi kupeleleza kosa lingine lililopatikana kutokana na maelezo unayotoa. Kuulizia mali alizonazo ni kuangalia isije ikawa anajihusisha na money laundering ie utakatishaji wa pesa.Kumbuka kuna wakati baadhi ya maaskofu walihusishwa na biashara za unga. Kikubwa ngoja apeleke vielelezo afu tusikie
sasa kama wewe sio polisi, na sio mwanasheria, unaongea kutoka wapi? unajua nini? kwa kifupi ni kwamba, miaka kadhaa iliyopita kabla sijawa wakili wa kujitegemea nilikuwa wakili wa serikali, hizo cautioned statements na extra-judicial nimetender sana, na nimeshashiriki mara nyingi sana kwenye interrogation ya suspects kwa kuwaongoza mapolisi katika operation kadhaa. sijui kama unaongea kwa experience au umesikia tu kwa mtu.ninajua namna mashahidi wanavyohojiwa, ninajua wajibu wa polisi na haki za suspect. watu wengi sana kama wewe hawajui hilo, na wengine ni polisi hawajui hilo. ukisema theory unakuwa haujui unachoongea kwasababu hivyo nilivyokueleza ndivyo hata polisi aliyeandika cautioned statement ndivyo anavyotakiwa kuviingiza wakati wa kutender statement mahakamani as a confession ya accused. inawezekana haujawahi kufika mahakamani au pengine huwa unaenda lakini haujui kinachoendelea.Kwa bahati nzuri mimi siyo polisi lakini hoja zako ziko too theoretical na kama hauna experience yoyote ya namna mashahidi wanavyohojiwa. Najua ungekuwa wakili ungekuwa una picha kidogo ya zoezi zilivyo. Kwa hiyo style unayofikiria wewe hata mwizi wa kuku humpati.
kuna jamaa hapa anasema sisi hatuna experience yeye ndio anayo hiyo experience na anajua kuwa mtu hawezi kupelekwa mahakamani bila kuandikwa maelezo. huyo jamaa atakuwa wale polisi wanaotumia nguvu lakini upstairs ni empty, ndio hao waliokuwa wananiharibia sana kesi kwa kupeleleza kesi vibaya, kuhoji mashahidi nje ya muda na kwa cautioned statement ambazo haziwezi kuingizwa mahakamani. kama ulishawahi kudeal na hii kitu utakubaliana na mimi kuwa polisi wa aina ya huyo jamaa ndio mara nyingi husababisha wahalifu kutofungwa kwa sababu wanaharibu kesi bila hata haijafika mahakamani.Mimi huwa nadeal na haya masuala daily kupelekwa mahakamani bila statement ipo na ni kawaida . Ila kwa kesi kubwa kuna mambo ambayo polisi wanalazimisha kutoa statement. Kwa mlinzi wa amani ambaye mara nyingi ni hakimu hakuna kupigwa na ni lazima mtuhumiwa amwambie hakimu kuwa jambo ambalo anataka kulisema. Hakimu humwangalia mwilini kama ana majeraha au la ndio anaanza kuchukua maelezo. Polisi wanachokifanya ni kumpiga biti kuwa amwambie hakimu kile kile alichosema akiwa polisi.