Generetaion Z
JF-Expert Member
- Oct 2, 2022
- 343
- 883
Njia za kupatia pesa izo pia pesa hazitoshi matajiri nao bado wanatafuta pesa zaidi.Kigumu ni kupata pesa, unadhani ungekuwa na pesa ungehangaika na hayo mambo yote!
KwaniniForex ni ngumu
Forex unatakiwa usome na Kwa retailers ni vipigo tu Bora betting unajua kabisa unabashiriKwanini
Ume verify ac mkuu?Forex ni rahisi sababu unakuwa na matokeo mawili tu, ni either Profit au Loss( Yaani Up or Down)
Sasa betting ni ngumu sababu ina matokeo matatu, Win, Loss & Draw.
Namaanisha kubet matokeo miwili ni rahisi zaidi kuliko kubet matokeo matatu
Asee achaneni na mikeka, uhondo kamili upo huku [emoji28][emoji28] Online trading with Deriv | Simple. Flexible. Reliable.
Ndio, Acc ina tick kabisa. Ni rahisi sanaUme verify ac mkuu?
Basketball ina option mbili kumbuka...Forex ni rahisi sababu unakuwa na matokeo mawili tu, ni either Profit au Loss( Yaani Up or Down)
Sasa betting ni ngumu sababu ina matokeo matatu, Win, Loss & Draw.
Namaanisha kubet matokeo miwili ni rahisi zaidi kuliko kubet matokeo matatu
Asee achaneni na mikeka, uhondo kamili upo huku [emoji28][emoji28] Online trading with Deriv | Simple. Flexible. Reliable.
Kwanza kabisa jamaa inaonyesha ni mtu wa forex na haufahamu vizuri kuhusu betting, betting sio mchezo wa kubahatisha 100% kama watu wasionauzohefu na kubeti uwa wanahongea, betting ina kufanya analysis na ndo maana kuna app kama SOFASCORE na FLASHSCORE japo wengi hawajui matumizi ya izo app , uwa wanadhani zipo kwa ajili ya kuangalizia results tu ila napenda niwaambie izo apps ni zina statistics na kuna mbinu kibao za kufanya analysis na mikeka inatick bila tatizo , na watu wanaobeti pesa ndefu kwa odds chache uwa wanapiga pesa sana maana uwa ni huakika, kuna watu wanatia mpunga ata 1M kwa odds 1.22 ,kuhusu forex sina uzohefu nayo ila nahisi ni ngumu sana maana unatakiwa kufanya fundamental na technical analysis, ujue politics za dunia, macroeconomics etc .Wakuu,
Nawakaribisha kujadili hili. Kati ya forex trading na betting kipi kirahisi au kipi waweza sema unaweza jivunia.
Binafsi kutabiri outcome ktk forex ni rahisi kuliko kwa betting.
Risk ya betting ni 100pecnt ya mtaji wako or stake, ila forex unaweza limit kiasi kadhaa.
Betting ina outcome tatu yani win loose or draw. Huku forex ikiwa na outcome mbili buy or sell.
Betting na forex vyote vinabase ktk emotion mfano ukabet alafu ukatizama ile mechi au ukatrade alafu ukawa unatizama ile chart.
Betting huwezi control outcome yani mfano mechi inaendelea timu yako ishashinda ukasema usecure profit iyo hakuna ila forex ikawa imeenda upande wako unaweza secure profit mapema.
Je, kipi ni kigumu?