kujilipua kivipi?Wenye tabia za kujilipua ni watu gani vile?
nawasihi wabongo wenzangu tusije tukajiingiza katika mambo ya kibaguzi wala kushabikia. Nilikuwa nashabikia sana haya mambo lakini nilijifunza mwaka 2005. Don't use a chorus judgement, hatakama ni majority wenye tabia fulani kumbuka kunaambao hawapo unavyo fikiri... na ukiwabagua au kuwahukumu watu kwa dini yao ww utabaguliwa kwa rangi, kabila, utaifa, ukoo na hata familia.

Mkuu ulichosema ni sahihi kabisa. As long as una ngozi nyeusi ktk dunia hii basi wewe utabaguliwa na kila watu uwe mkristo ama muislam hutokwepa hilo.
Wazungu wanatubagua
Waarabu wanatubagua
Wahindi wanatubagua
Chotara wanatubagua
Wachina wanatubagua
Wahabeshi wanatubagua
Hata wasomali ambao ngozi yao ni nyeusi tiiii kama mpingo still wanatubagua.
Haijalishi uwe mkristu ama muislamu wewe utabaguliwa tuu as long as ngozi yako ni nyeusi
Ni kweli kabisa, miafrika wenyewe kwa wenyewe tunabaguana, na ukizidi kui-break down mpaka watu kwenye ukoo mmoja tunabaguana, inaendelea hadi within a family hatupendani. Basi ni tafrani tupu. Mungu atusameheWenyewe kwa wenyewe tunabaguana, au umesahau?
"devide them and rule them"
<br />Hata jf kunaubaguzi hasa kwa new members wanadharauliwa