Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,163
- 64,232
Kama itakuwa hivyo, atakuwa ni wakipee sanaPengine na yeye atakuwa na hela yake, so you may share costs
Wanasema wa mtaani ni wa analojia, ila wa humu ni wakidigitaliNi hao hao wa huko mtaani.
π π π π πTafuta Hela hata ukihonga nyumba demu anajiona keki wakati wewe unaona umegawa kwa masikin Hela ya mbogaππ
Ukiwa na njaaa hata ukihonga laki unaona kama umetoa bilionπ¬
Depal upo wapi? Fursa hiyoNgoja wajeeee
Afadhali umebadili avatar maana ilifanana na jamaa fulani. Nikakucheka maana mfupa uliomshinda .... utauweza. CC Smart911Fursa fursana π
Vurugia na hukuUmbea sio mzuri mkuu π
Mkuu me sipangwingwii.. anytime navuruga nijisikiavyo