Mizinga ni Janga la Mapenzi!

Mkuu ungeoa usingepata shida hiyo mkeo ndo angeenda sokoni kaka but all in all hii chai ya maziwa
 
Haa ha ha...umetoa mkuu!??? Daah kazi ipooo mpaka.naogopa kutongozaa hada wadada wazuriii
Me huwa najiuliza hiv kabla hujamtongoza alikuwa anaishije? Maana ukishakuwa nae mizinga inafululiza
 
kwa hiyo ulikuwa unamkopa leo ameamua kujilipa kwa nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…