Mizinga ni Janga la Mapenzi!

Ungenunua robo tuu
 
Mademu Wa kibongo wana njaa hadi Matakoni. Mwenyewe juzi Nina njaa zangu nikaenda kwenye Kitimoto nikaagiza robo kilo na ndizi za jero yaani ndizi 2 Mara ghafla ukatokea mchepuko wenyewe ukaongezea pale kwenye Oda yangu nusu na kufanya robotatu kilo na bado ukaagiza kachumbari,ugari na ndizi! Duuu nilichoka sana . nikalipa hela nyingi kinyume na bajeti uangu. Mademu Wa siku wana njaa sana
 
Mkuu si unadada au hayo maneno hayamuhusu
 
sikuhizi mimi nikiona msg BABY NIKWAMBIE KITU!hapo nazima simu kuiwasha usiku saa sita najua ameshalala na mishida yake
 
Daah juzi nimepigwaa mzinga wa 20 dadekii afuu leo yule manzi analeta nyodooo...!! Falaa sanaaa yuleeee.... Wanawakee wotee malayaaa tuu..

Mh!!, mkuu umewaza kweli?? Maana hapo wapo akina shangazi, dada, mama na mama wadogo zako pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…