Mizinga kuelekea sikukuu ya Eid....

Eat and run.....
 
Acha kuruka ruka kijana, we ulipomfuata mwenye nywele za laki2 kichwani hukuwaona wenye twende kilioni ambao ndio unawezana nao???

Kwa huyo Waren nilichojifunza ni kuwa maisha ni kuchagua na kufurahia kile ulichokichagua, kwahiyo nawe km umechagua kuwa na anaekukamua, basi kubali tu kukamulika maana ndicho ulichochagua walaaa usilalamike.
 
Aisee! Hawa jamaa mizinga yao.... Kwani sikukuu bila dira... Ukimpa dira, atakuambia hela ya kula... Hahahaaah
Hujui kula nako ni hitaji la msingi la binadamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…