Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,405
- 114,840
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hataree
Fuata kauli mbiuWadada Mjini mmezidi aisee. Mtu kakutongoza tu tayari unakuja na Invoice ya matatizo ya ukoo mzima. Sijui Kodi, michango ya kitchen party, send off, misiba,ubatizo na harusi. Hata sisi tuna yetu jamani.
NB: La ajabu hata majimama nayo ya Njaa tofauti na zamani walikuwa walezi wa wana
Minne tenaPunyeto yatosha!
😀😀😀😀 Shem wafupi tumekukosea Nini?😂😂Hatari sana alafu akawa anajichekesha chekesha ngoja nisimponde the way alivyo wakulungwa wasijesema sababu sikufanikiwa kupata namba ila ni kafupi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Shem wafupi tumekukosea Nini?[emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Shem wafupi tumekukosea Nini?[emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 Shem🙌Tatzo sio ufupi, tatzo chura ipo kwenye huo ufupi shem [emoji1][emoji1]
Ndo utaratibu mkuu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]hahahaha, hatari sana, yaani ni mwendo wa nipe nikupe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawa viumbe hawataki kufuata taratibu za PMU.... Watasubiri sanaKutana na mtu wa PMU. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kweli kabsaaUnaaacha tu kutongoza atakuja tu wakukutaka wewe
Labda bwana nyege awe amekufa, maana ndiye anaewaponza mna mawazo mazuri mno kabla huyo bwana hajawatembeleaVijana tutafute hela mpaka tuwasahau maslay queen tubaki na mwanamke mmoja ambae tunajenga nae life
Mnawatoaga wapi?