Tatizo Ni hizo hesabu za MAGAZIJUTO kwenye mavuno ya asali hakuna uhalisia....inapotosha!Na hili ndilo tarizo letu watz ndio maana hatuendelei. Sasa sijui ni education system yetu au ni malezi, sielewi. Mindset hii ndio inarudisha nyuma sisi watz.
Mtu anadhani kila mtu anaweza fanya kila kitu ndo mindset hii inaleta watu wanaodhani wanajua kila kitu. Ukisema unaumwa kichwa utasikia hiyo maleria, mwingine aah hiyo typhoid yaani hakuna mtu aseme unajua hatujui labda uende hospitali upime uambiwe ni nini. Kuumwa kichwa ni dalili ya magonjwa tofauti tofauti.
Nimeeleza huo mfano wa ugonjwa kuelezea km mfano ktk comment yako. Mi ni fundi naunda mizinga, ndio kazi yangu, wengine watafuga, wengine watakuwa kazi y ni kuuza asali, wengone watakuwa kutumia. Hatuwezi wote fanya kila kitu
Nadhani utakuwa umepata chochote.
Stick with what you know