Mizimu ni vitu gani?

Je, kuna mtu anaweza kuleta ushahidi kuwa Mizimu ipo?
Footprint records za Binadamu waliowahi kuwepo. Wapo wataalamu wanaoweza kuzi-trace na kuzitumia kadiri ya mahitaji yao binafsi au kwa umma.

Chukulia tu vile mfano ukiambiwa hakuna file linaloweza kufutika mtandaoni, ukishapost mtandaoni hiyo ni milele itabaki hivyo, utafuta na kufuta lakini bado file litaacha footprint ya kufikiwa tena!

Mengine sasa yanabaki kuwa mahaba ya watu, kuwa mzimu ni uovu au ushirikina, au wema au muhimu, nk...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…