Tatizo tunaiga kila kitu.
Bunge tumeiga Westminster, mpaka majibu ya hapo kwa papo nayo tumeiga.
Wakati Waziri Mkuu wetu hata kumung'unya boilerplate iliyopakwa koti la ukweli kama PM wa UK hawezi.
Hapo kwenye maswali ya hapo kwa papo hamna desa wala personal asistant kusaidia kupata desa, ndipo unajua nani fahali na nani ndama.