Mizengo Pinda: Ni sawa kwa wakuu wa wilaya kuinadi CCM mikutanoni!

Tatizo tunaiga kila kitu.

Bunge tumeiga Westminster, mpaka majibu ya hapo kwa papo nayo tumeiga.

Wakati Waziri Mkuu wetu hata kumung'unya boilerplate iliyopakwa koti la ukweli kama PM wa UK hawezi.

Hapo kwenye maswali ya hapo kwa papo hamna desa wala personal asistant kusaidia kupata desa, ndipo unajua nani fahali na nani ndama.
Hizi baadhi ya kauli za Pinda, zimenifanya nimkumbuke EL!.

Hebu na alitue hilo zigo la watu alilojitwisha ili 2015 twende kazi, mwendo mdundo!.
 
Kwenye katika ya sasa majukumu ya mikuu wa mkoa yapo kaka soma vizuri katika no Kama tulivyo watz kukurupukia Hoja hate Kama hatujafanya utafiti

huna haja ya kuwasimanga kwa onyesha uzalendo wao kufikisha hisia uhalisia wa utanzania.nakubalina nawe yapo madraka ya rc kwenye katiba, lakini je ni kweli wawe washiriki wa kuteteta ilani niana itikadi ya ccm kwa kutumia pesa za walipa kodi?hapa ni hapana kupotoka na kufurahishana kwenye mambo ya msingi ni utoto.Mrac na madc wanatakiwa kuwatumikia watanzania , bila kunagali unazi wao wa kiitikadi haya ya kupambana na wapinzani ili ccm iendelee kutawla milelel.Ni kufanya kusimamisha maendeleo na kuleta mzizimo katika jamii.kama mfuatiliaji leo kanda ya ziwa walio wengi hajauza pamba sababu ya bei kutelemka.wananchi walio wengi wanaona ni matokeo ya sera dhaifu za ccm. je wadc wakalazimishe wakalazimishe wakulima wauze pamba?jibu hapana kutelemka bei ni sual lingine na ccm ni suala lingine.Tuache unazi kuwatumikia watanzania ki itikadi, kinasaba, kidini, kimajimbo , ni ubaguzi ambo katiba ya nchi inaukataza.Ni ukweli usiopingika nahoji degree ya sheria ya pinda kma ya kweli.na pia kama kweli ni mzalendo aliyesitahiki cheo hicho.watanzania wanahitaji kutumikiwa bila kubaguliwa kiitikadi, je kama itkadi ya ccm na ilani yake ikakataliwa na watanzani, je hawasitahiki kutumikiwa kiusawa na kupata maisha bora?
 
Back
Top Bottom