Mizengo Pinda katika SELFIE!

Mizengo Pinda katika SELFIE!

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
33,644
Reaction score
40,226
.......Mheshimiwa PM...katika selfie
huwa tunacheka kidogo...kama
tukishindwa kucheka basi huwa
tunatabasamu....au vipi? Next time
basi...au vipi
1410345105079.jpg
Picha kwa hisani ya Edo Kumwembe
 
Mara ya mwisho kumuona mtu kavu ni Arnold Shwerzniger
Terminator 2
 
Acha masihara nyie, hapa ni presida mtarajiwa.
 
Watu wawili, huyu mzee Pinda na Hashim Lundenga wakigwa picha wanakuwa kama wamelazimishwa.
 
alivyo sikia mwenzake wanamnanga kila siku kuwa anachekacheka basi ndo hatii hata tabasamu
 
Hivi inawezekana wakati wote usiwe photogenic? Kiranja mkuu sio photogenic kabisa
 
ukauzu utamnyima urais shauri yake hajui akili matope za wabongo sura ya tabasamu inauza kwenye uchaguzi
 
Back
Top Bottom