usawa wa kulia
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 454
- 154
nakumbuka juzi alisimama bungeni na kusema jamani kwa unyenyekevu mkubwa NAOMBA HILI SWALA LA ESCROW LISIJADILIWE BZ BADO LIKO MAHAKAMANI na hii mihimili haitakiwi kuingiliana..,kumbe anajua kahusika pamoja na wezi wenzake hvi alifikiri kwa upumbavu wake wabunge watamwogopa!