Mixing and mastering ya nyimbo bure

Mixing and mastering ya nyimbo bure

abcde

Member
Joined
Jan 18, 2012
Posts
38
Reaction score
5
Habari wadau!!! Kuna producer yuko USA tumefanya partnership kwa ajili ya mixing na mastering ya nyimbo. Kwa sasa tunafanya bure kwa nyimbo kadhaa ili kujitambulisha, nyimbo anazofanya sana ni za hip hop, lakini pia r&b, kwa aliye na vocal anahitaji ku mix track yake anitumie vocal kwenye email eddyks10@gmail.com
Hii ni moja ya beat aliyotengeneza
Asante
 

Attachments

Mkuu nakushauri pia ungeandika uko mnatuma program gan ili mtu akitaka ku2ma anajua ilo mana bongoo ma producer wengi wana2mia cubase,kwa mfano sisi tuna2mia studio one..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom