Mivutano yaanza kuzuka ndani ya UKAWA

Hivi watu wanapewa fedha ili waache kazi waliyopewa na wananchi ya kutunga Katiba wewe unaona ni sawa?

Mbona hata hao waliobaki walikuwa busy na MIPASHO na MATUSI?Au kwenye rasimu kuna sura ambayo haya yalikuwa yanaingia?
 
Hivi kuna watu bado wanasoma Habari leo, Uhuru au kuangalia TBCCM. Mm huo upuuzi nilishaachana nao kwa nini kujipa stress bure?
 

Ovyoooo
 
Sijawahi kusoma HabariLeo ni propaganda tupu! Hata wakirudi siku 60 zilizobaki katiba mpya itakuwa ya kulipua tu.
 
....teh teh habari leo limeshakuwa lainiii linafaaa sana kwa matumizi ya chooni...
 

kumbe huna uhakika kuwa pesa zimetoka kwa mfadhili ama wafadhili.
 
Mwigulu bana ulikuwa kimya kuanzisha thread muda mrefu heheheeeeee
 
source of info za habari leo ni kwenye madanguro, usitegemee kupata habari ya maana
 
Huyu Mwanadiwani kwa story za kubuni ndiye mwenyewe. Anatujazia server bure. Nafikiria kumpeleka kwenye ignore list yangu kwani sasa nimechoka kusoma uharo wake hapa.

Tiba
 
Yaani kuna watu wanasali usiku na mchana UKAWA upasuke. Sasa hii habari ya Habari leo hata haieleweki after all hawakuibalance. Kama kuna mgogoro kwa nini wasiwatafute viongozi wa Ukawa? Yaani ni upuuzi mtupu. Gazeti hili linaaibisha taaluma ya habari, na halistahili kuwa la Serikali.
 
Unaliwa vibaya na yule adui mkubwa ujinga aliyetangazwa na nyerere toka miaka ya 1960s, hatuwezi kuendelea kuacha siasa za nchi kwa watu wenye upeo wa design ya kwako
 
MwanaDiwani umesema yako muda si mrefu utawasikia
 
Yani siku hizi JF imekuwa zaidi ya FB kwa kuwa na wanachama vilaza!

Mleta mada ameleta habari, badala ya kujadili content ya habari, mijitu inaanza kumponda mleta mada! Si bora usome na usiweke lolote kuliko kuharibu uzi?

Mods, lindeni hadhi ya jukwaa, vimichango vya ovyovyo viwe vinafutwa tu.
 
Hivi Habari leo ni gazeti la serikali au gazeti la UMMA? Mnachezea kodi zetu eh? Subirini kiama yenu! Kwa nini hizi habari msiwaachie Uhuru? Chombo cha habari cha umma hakipaswi kuwa biased!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…