Miundombinu ya Dar es salaam imepitwa na wakati: Hali hii haiwezi kuendelea!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,333
24,227






Morogoro Road



Jangwani

Picha chache kuonyesha yaliyotokea jana yanadhihirisha kuwa kuna sehemu tumelala.

Mvua hiyo kubwa inaelekea imeonyesha udhaifu mkubwa wa miundombinu ya maji jijini Dar es salaam.

Kwa miongo ya miaka, Halmashauri za Jiji na Serikali kuu zimeendelea kupuuzia namna ya kuijenga na kuihudumia kwa matengenezo ya mara kwa mara miundo mbinu ya Jji hili la DSM.

Mto Msimbazi pamoja na ukaribu wake baharini akini hakuna kabisamtaalam wala mwanasiasa anyefikiria kuuchimba mto huu ili uweze kuhimili sehemu kubwa ya maji ya mvua ya Jiji la DSM.

Wenzetu wazungu, kwa aibu inabidi tuwarejee maana sisi pamoja na kuwa na Planners, wahandis wazuri, lakini uwezo wao wa kufikiri ni kufikia tu ukurugenzi na kupnda ma V8 na hawana wanaofikiria zaidiya hapo.

Wazungu kwao mito yote iliyopitia katikati ya Jiji, inakuwa ndio kupona kwa Jiji, iwe London-Thames, Washington-Potomac, Japan, Misri, Khartoum na kwingineko.

Sisi wataalam wetu wamelaniwa?

Kwa nini hawchukui hatua mahsusi ya kurasimisha njia za maji kisheria na ili iweze kuhudumiwakama barabara zinazopewa umuhimu?

This cant go on!!

Hali hii haiwezi kuendelea kama nusiness as usual.
 
Wewe ndio waona Miundombinu imepitwa na wakati.

Alieijenga anajisifia nayo kias cha kutaka tumchague tena. Mimi kwa Miundombinu hii hii ya Bwana Jiwe jana nimetumia masaa 10 kutembea umbali wa km10.

Yaani mathematically ni speed ya 1km/hr nikiwa kwenye gari.
 
Mafuriko yalipotokea kule London na jiji lote la London kuwa chini ya maji hamkusema miundombinu imepitwa na wakati, bali mlisema mvua iliyonyesha ni kubwa mno...
 
1km/hr?
Jana ilikuwa 0km/4hrs
 
Tatizo watu wanafikiria barabara tu, hawafikirii juu ya Drainage System Management(DSM).
Suala la DSM wameachiwa vilaza wa Halamshauri, watu ambao uwezo wao kufikiria unaishia kwa baraza la Madiwani.
Madiwani wengi uwezo wao kuona mbali ni kama haupo.
We should change.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…