Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,490
- 96,054
Wana jamvi mji wa mtwara wiki iliyopita ulipatwa na mashaka makubwa baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha mafuriko hivyo kupelekea wafanya biashara kupata hasara baada ya maji kujaa na kuingia madukani mwao na kuharibu bidhaa kadhaa ikiwepo cement,mchele,unga wa mahindi,ngano na bidhaa nyingine