Mitungi ya ORYX gas

Mitungi ya ORYX gas

reandle

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Posts
11,166
Reaction score
8,152
Wadau Salaam!

Wadau, member mwenzenu macho yameshaanza kuwa mekundu kwa ajili ya kupuliza mkaa na sasa nataka ku-shift na kutumia jiko la gesi. Hata hivyo, kuna machache naomba kufahamu.

1. Kama hauna mtungi tupu wa gesi, je; hizi sales outlets wanaweza kukuuzia mtungi wenye gesi plus gharama ya mtungi?

2. Kama hawatoi hiyo huduma, ni namna gani na wapi naweza kupata mtungu tupu.

NB: Mtungi ninaohitaji ni ule wa size ya kati; kama sikosei ni 15Kg na uwe Oryx.
 
Great thinker unatuletea habari kama hizi hapa duh ....!!! Kesho utatwambia mkeo ana mimba ya jirani tukusaidie.

Na wewe unajiita GT? Kama huna cha kuandika ni busara kupiga kimya kuliko kuleta ujinga kwenye serious issues..
 
Sasa hizi ndo habari za kuleta hapa hata ungemuuliza mkeo angekujibu kama unae, usitusumbue bana.

wewe ni mpumbavu halafu hujifahamu kwamba ni mpumbavu.... huyo mke wangu unayemsema ni wewe? we cho'ko nini?!
 
Hahahahahaaaaa:drama::drama::drama::sick:
Join Date : 19th November 2014
Posts : 8
Rep Power : 306
Likes Received0
Likes Given1

Ndio maana nikakuambia wewe ni mpumbavu na hufahamu kwamba ni mpumbavu na ndio maana kutokana na upumbavu wako unadhani kila siku 1+1=2
 
Back
Top Bottom