EngenMikocheni
Member
- Jan 20, 2012
- 7
- 7
Sisi tunatafuta mitungi ya gesi yasiyo chakaa... Iwe ya kampuni yeyote..
Piga simu 0766443241
Piga simu 0766443241
Sisi tunatafuta mitungi ya gesi yasiyo chakaa... Iwe ya kampuni yeyote..
Piga simu 0766443241
ORYX 25.2 UKO SAFI kabisa bei 60k.
60k ndiyo shilingi ngapi?
Pole ndugu ni 60,000/=
Unaweza kuweka picha mkuu, nahitaji mtungi pamoja na jiko lake vilivyo katika hali nzuri.
Camera ya simu haifanyi kazi ila nina jiko pia but lina tumia sehemu moja kupikia nyingine inahitaji matengenezo.Mtungi ndugu uko safi kuna watu wawili walisema wikendi watakuja kuchukua so ukiwa sawa.