Mitumba ya jumla inahitajika

Mitumba ya jumla inahitajika

Akilitime

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2017
Posts
581
Reaction score
763
Wa salaam,
Kwa wakaazi wa Dar es salaam , pamoja na wafanyabishara wa nguo za mitumba, ni wapi naweza pata nguo za jumla kwa Dar esalam
Asante.
 
Unamaanisha ballo?
Nenda mnazi mmoja
 
Back
Top Bottom