M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 8,097 Reaction score 10,946 Oct 1, 2013 #1 Nahitaji kujua bei ya mitumba daraja la kwanza kwa bells(do not mind my spelling namaanisha hicho)
M Misterdennis JF-Expert Member Joined Jun 4, 2007 Posts 1,741 Reaction score 482 Oct 2, 2013 #2 Naona wanaojua hii kitu bado hawajapitia hapa, kuwa na subira mkuu.
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,607 Reaction score 28,626 Oct 2, 2013 #3 kuwa specific ni aina gani ya nguo za mtumba unazohitaji mkuu,.. Za kike,kiume,nguo za watoto,. mashuka,makoti,. n.k
kuwa specific ni aina gani ya nguo za mtumba unazohitaji mkuu,.. Za kike,kiume,nguo za watoto,. mashuka,makoti,. n.k
kiruu Senior Member Joined Aug 30, 2013 Posts 167 Reaction score 20 Oct 2, 2013 #4 Uko wapi? kama mkoani moshi utapata nguo vitu vizuri na hela nzuri pale memorial chuga karibu n namanga
Uko wapi? kama mkoani moshi utapata nguo vitu vizuri na hela nzuri pale memorial chuga karibu n namanga
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,607 Reaction score 28,626 Oct 2, 2013 #5 kiruu said: Uko wapi? kama mkoani moshi utapata nguo vitu vizuri na hela nzuri pale memorial chuga karibu n namanga Click to expand... memorial mpaka uwe mzoefu na kujulikana na watu la sivyo utaambulia patupu,..
kiruu said: Uko wapi? kama mkoani moshi utapata nguo vitu vizuri na hela nzuri pale memorial chuga karibu n namanga Click to expand... memorial mpaka uwe mzoefu na kujulikana na watu la sivyo utaambulia patupu,..
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,343 Reaction score 33,506 Oct 2, 2013 #6 Fata gikomba,Nairobi.