FIKIRI UFIKIRIKE
New Member
- Sep 22, 2014
- 3
- 0
wewe siyo mwenyeji wa magari ndiyo maana huwez kuelewa.
Mtanzania na hali zetu za kipato huwezi kumiliki gar ambalo ni zero km.
Hiyo gar iko vzur sana.....njoo na fundi wako akukagulie gar kama unawasiwasi
Gari jipya kabisa lakini limezurura 239,000km!!Mtengenezaji: Mitsubishi
Model: Rosa
Mwaka: 1993
Engine size: 3560cc
Mileage : 239000km
Gari ni mpya imesajiliwa mwaka huu. INA NAMBA DFE.
Serious buyer....njoo inbox
Mtanzania na hali zetu za kipato huwezi kumiliki gar ambalo ni zero km.
Zero Km bei ni milioni 90 hadi 120.
kama unataka hiyo pia ipo maana milioni 45 kwako naona imekuwanyingi
Haina neno lkn najua kuwa hujui unachokisema. Mimi ni expert wa biashara ya magar. Watanzania tunaagiza gari used kutoka Japan na dubai lkn siyo Gari mpya simply because ni Aghali sana magari mapya. Serikali na makampuni ndo wanaingiza gari mpya yaani Zero KM.
Kama hutaki kuelewa tembelea magari yaliyo showroom zote unazoziju hafu ndo utajua na utakuja ututake radhi kwa matusi yako.
Hapa hatufanyi utani kama huna hela tulia
Jaman deal hiyo...gari iko safi sana. Haijatumika sana hama tz ko iko na hali nzuri sana
Kama unayo ya kwako mpya mshukuru Mungu na usianze kubeza watanzania zaidi ya 90% ambao wanauwezo wa kununua used. kama umewahi kuagiza gari nadhani hili wala halihitaji debate.
Na hiyo gari haiuzwi na dalali. niyakwangu ila nimeamua kuiuza.