mtoto wa mama
Senior Member
- Jan 11, 2011
- 188
- 18
photo please
Sijaona ubovu wake it is well maintained car..hayo magari si ndio mabovu sana, watu wote wanayaogopa?
Hii yangu haina tatizo nimeagiza pick up hivyo naiuza hii ili niweze kuitoa gari ikifika na sina gari moja tu.., nice time ndugu timeToa sababu za kuliuza tafadhali, nijuavyo mimi mswahili hauzi kitu mpaka kimzingue hapo atatafuta mtu wa kumbambika na kama ni hivyo ushindwe kwa jina la Yesu!
Toa sababu za kuliuza tafadhali, nijuavyo mimi mswahili hauzi kitu mpaka kimzingue hapo atatafuta mtu wa kumbambika na kama ni hivyo ushindwe kwa jina la Yesu!
Hayo mawazo ya kitoto sana!