rigobert Senior Member Joined Jan 20, 2010 Posts 137 Reaction score 58 Mar 11, 2013 #1 Habari wana jamvi. Naomba msaada wenu kwa yeyote anaefahamu wapi kwa hapa Dar es salaam naweza kupata kampuni inayokodisha haya magari kwa ajili ya shughuli zake.Hizi gari ni tani mbili mbili.Bei ni makubaliano.Natanguliza shukrani.
Habari wana jamvi. Naomba msaada wenu kwa yeyote anaefahamu wapi kwa hapa Dar es salaam naweza kupata kampuni inayokodisha haya magari kwa ajili ya shughuli zake.Hizi gari ni tani mbili mbili.Bei ni makubaliano.Natanguliza shukrani.