Car4Sale Mitsubish Outlander For Sale, ipo Mbeya

Picha inashida gani mkuu? Kuona kwa clear vision click usawa wa picha itafunguka
Ingawa sina nia ya kununua lakini kwenye picha umezingua.
 
Gari ya aina hii kuna siku nilipanda, iko poa sana barabarani. Kwanza iko stable! Halafu ina matumizi mazuri ya mafuta.
 
Punguza bei
Maongezi yapo mkuu, unaweza nipa ofa yako tuone biashara inafanyika au, gari iko sawa popote unapo amini tunaenda kufanya driving test
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…