Frola Wingia!1Sorry
fwingia@yahoo.com aghh!!Kilimasera jina Halisi Nimesoma lakini nimekujakugundua wanawake wanaoachwa kwa njia hii niwale walioingiwa na kirusi beijing nakama mimi ninahitaji kuwa na heshima kama mume lakini wewe unaendekeza maneno ya majukwa ya wana Harakati kama Fwingia lazima Ndani ya nyumba pataonekana kero na mimi kwakuondokana na kadhia hizo nikuvutakitu kipya!!wewe endeleza harakati zako za ubeijingi huko!siyo kwangu!!Nafikiri ndiyo sababu kubwa japo yawezekana siyo sababu!!!