Mzalendo_Mkweli
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 2,056
- 1,303
Habari wana JF,
Siku za nyuma palikuwepo mara kadhaa malalamiko kwamba mitihani ya kidato cha Nne na cha Tano imekuwa ikivuja kabla ya siku ya mtihani.Leo nimekuwa nikitafakari kwa kina na kuanza kujiuliza maswali yafuatayo:-
1. Mbona taarifa za uvujaji wa mitihani ni nadra kuzisikia katika taasisi za elimu ya juu i.e. Universities & colleges?
2. Je ni kweli kwamba mitihani haivuji kabisa katika Universities & colleges?
3. Kama ni kweli mitihani haivuji katika Universities & colleges, Je zile Universities & colleges zenye multiple Campuses e.g
TIA, CBE, TPSCS, nk ambao wanafanya Single paper kwa Campuses zote wanafanya nini kudhibiri uvujaji wa mitihani
(kuanzia utungaji, compilation, production na usafirishaji kwenda kweye Universities & colleges husika)
Naomba tuelimishane katika hili jukwa, "Wataalam wa kesho wanaandaliwa leo na sio kesho"
Nawakilisha