Mitihani ya taifa yaahirishwa

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,303
Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeahirisha mitihani ya kitaifa katika vyuo vya Afya nchini ambayo ilitakiwa kufanyika Septemba 1 2017 kupisha sikukuu Eid Alhaj



Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Ally.

Taarifa iliyotolewa na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini sekta ya Afya inasema kuwa mitihani ambayo ilipaswa kufanyika siku ya Septemba 1, 2017 ndiyo itakayoahirishwa na kudai mitihani mingine itaendelea kama kawaida.

 
Duh!
Kumbe ni lazima kushereheka!
 
dah nimekuja mbio mbio nikijua ni ya kidato nne
 

Hivi hili lim-mama huwa linafanyaje huo mdomo hivyo aisee? Utafikri anataka kunyonya .........!! Haaaaa, hebu aache tabia hiyo bwana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…