Mitihani ya Suprementary


= supplementary

Muombe moderator abadili bichwa lako la habari.
 
Labda kama wameacha mwaka huu, mi nimemaliza mwaka jana sup 1 ilikuwa tunalipia 20
Acha uzuzu! Wewe ulilipia rufaa ya kutaka sap yako ipitiwe upya ili kama kulikuwa na makosa ya usahishaji itolewe. HUKULIPIA MTIHANI WA SAP ZAKO.
 
Kuapeal nn.....kwan cku hizi sup wanaapeal?....... Aisee wonders shall never end
Nilikuwa namwelekeza kwa upande mwingine kuappeal ni kukata rufaa kama hujakubaliana na matokeo yako hiyo ndio inalipiwa ninavyojua mimi mkuu. Ishu ya Supplementary nilishatoa jibu.
 
Nilikuwa namwelekeza kwa upande mwingine kuappeal ni kukata rufaa kama hujakubaliana na matokeo yako hiyo ndio inalipiwa ninavyojua mimi mkuu. Ishu ya Supplementary nilishatoa jibu.
sawa mkuu ......
 
Tofautisha kulipia Rufaa/Appeal na kulipia kurudia mtihani!
Kinacholipiwa ni kukata rufaa na siyo sitting for sup paper.
ndo uelewe sasa wengine wanalipia sitting for sup paper .ni vitu viwili tofauti
 
mkuu kuna wazee ni mabahili sana kiasi bila mizinga ya hapa na pale basi utakufa njaa
Shida ya madenti wengi mnatumia pesa za kupewa vibaya,Fiesta Dar iliudhuriwa na madenti kibao japokuwa kiingilio kilikuwa kikubwa,wengine wanahonga/tongozea pesa za wazazi wao au boom,ndio maana wazazi wengi tumeamka hakuna "free lunch"
Wengine wananunulia "ngada"pesa za kupewa halikadhalika boom.
 
kusoma muda wote tu inachosha .lazima kurefresh mind
 
Kwani yeye amekwambia anadaiwa shilingi ngapi za kusapua? Mpe tu,, ndo hali halisi hiyo unafikri dogo atakula wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…