Mitihani ya mchujo Utumishi

Mitihani ya mchujo Utumishi

SOKETI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2010
Posts
206
Reaction score
50
Wana JF,
Kila siku najiuliza kuhusu mitihani ya mchujo - utumishi, inakuwa ya mhundo gani?
maana watu ni wengi na wanasiku moja ya kusaisha na kuwainterview waliopasi.
Kama kuna mdau amewahi kufanya tafadhali watujulishe na kufungua watakao kwenda kufanya mitihani hiyo..
​
 
The Infamous,hizo habari unazitoa wapi,wkt wnyw wamesema kuna mchujo..!!!
 
National Audit Office wanamchujo,wakuu mwenye idea jinsi mitihani ya national audit office inavokuwa?
 
Back
Top Bottom