naomba msaada kwa yeyeote mwenye uelewa, mimi nimepanda miti ya miashuki kuzunguka plot yangu lkn ukuaji wake haulizishi kabisa , sasa ni miaka minne lkn mti mkubwa una mita moja na nusu na mingine mini hata mita moja haijafikia.
mwenye utaalam wa nini nifanye tafadhali nijulishe