T Truth Matters JF-Expert Member Joined Apr 12, 2013 Posts 2,633 Reaction score 5,612 Apr 1, 2017 #1 Bandugu, Ni miti gani ya mbao inastawi ukanda wa joto pwani ya bahari ya Hindi, Kuanzia Mkuranga, Rufiji, Kilwa, Lindi mpaka Mtwara. N.B miti isihitaji zaidi ya miaka 10 mpaka kuvunwa kwake. Shukran!
Bandugu, Ni miti gani ya mbao inastawi ukanda wa joto pwani ya bahari ya Hindi, Kuanzia Mkuranga, Rufiji, Kilwa, Lindi mpaka Mtwara. N.B miti isihitaji zaidi ya miaka 10 mpaka kuvunwa kwake. Shukran!
F faruujohn JF-Expert Member Joined Dec 21, 2016 Posts 265 Reaction score 314 Apr 1, 2017 #2 mkoko na mwani