mithali au methali?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
370,480
Reaction score
857,788
Kiswahili fasaha ni kipi katika ya methali na mithali? Au ni vitu viwili tofauti? Kwakuwa? kwenye Bible ni Mithali lakini kwenye vitabu vyetu vya elimu dunia ni methali
 
Kiswahili fasaha ni kipi katika ya methali na mithali? Au ni vitu viwili tofauti? Kwakuwa? kwenye Bible ni Mithali lakini kwenye vitabu vyetu vya elimu dunia ni methali

Hayo maneno methali,mithali na misali yote yana maana moja,Tumia lolote kati ya hayo.Waandishi wa vitabu tofauti tofauti wana uhuru wa kuchagua neno wanalolipenda kati ya hayo kwani yana maana moja.
 
nami kwa uelewa wangu finyu natambua na kujua kuwa mithali ni katika maandiko matakatifu(biblia) na methali ni katika mambo ya kawaida kama elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…