mkuu kabla ya kufanya chochote kapitie vifungu vya sheria vinasemaje!
umesema sasa upo na 25, nasikitika utaishia gerezan! kwa umri wako ndoto zako nyingi za maisha nadhan hujatimiza! fanya kazi yako kwa uadilifu!
USHAURI.
ikiwezekana badili mazingira ya kumfundishia! wewe uwe unaenda kwao, hapa mitego itapungua! pia kama inawezekana badili na muda pia.(21;00-00.00) sio mda mzuri sana!
jitahid mazingira unayomfundishia yawe ya wazi mfano seblen na sio chumbani, ..!
kila la kheri