Maisha ni safari ndefuKatika harakati za kunasa warembo niliamua kufuga kuku kwangu ukawa ndio mtego mzuri nikipata mrembo namwambia nahamu na pilau kuku ila sijui kupika anakwambia nunua kuku mi namwambia kila kitu ninacho tatizo sijui kuandaa basi atapanga siku anakuja mapema akifika namwambia achague kuku gani nimchinje namuonesha jiko anaomba nimuoneshe chumba aingie abadili nguo sasa ndio mtihani unapoanzia anatoka na khanga moja au mtandio unaona kila kitu anaingia jikoni na kuwasha ges anaanza kukaangiza akimaliza tunakula tukimaliza anahitaji aende kuoga hapo ataomba taulo ntampa atavua nguo zote zilizobaki mwilini ataingia bafuni akitoka tu ndio mda wangu wa kumtafuna yeye [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huu mtego umenasa wengi sana. Lete wako tu share experienceView attachment 1088460
Ndege John bana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwa hiyo kwa haraka haraka ukipiga hesabu umechinja kuku wangapi mpaka Sasa hivi?
Haha haha mkuu unaleta porojoUtamaduni ngono bhana!!!!!!!!!! Nawaambia huyu naye hajajua kama na yeye kashachinjwa kwa STD kwa hiyo hili ni swala lenye kuhitaji watu wenye ufahamu na ujuzi ili apate kushaurika. Pole sana kaka. "NGOMA IKIVUMA SANA ........... KUPASUKA." WAJUZI TUNAKUPA POLE. ukiulizwa swali la ufahamu utajibu kwa namna tusiyoijua.
Nauza tupenga njoo itakufaa Sana hii kwa hii kazi yakoKatika harakati za kunasa warembo niliamua kufuga kuku kwangu ukawa ndio mtego mzuri nikipata mrembo namwambia nahamu na pilau kuku ila sijui kupika anakwambia nunua kuku mi namwambia kila kitu ninacho tatizo sijui kuandaa basi atapanga siku anakuja mapema akifika namwambia achague kuku gani nimchinje namuonesha jiko anaomba nimuoneshe chumba aingie abadili nguo sasa ndio mtihani unapoanzia anatoka na khanga moja au mtandio unaona kila kitu anaingia jikoni na kuwasha ges anaanza kukaangiza akimaliza tunakula tukimaliza anahitaji aende kuoga hapo ataomba taulo ntampa atavua nguo zote zilizobaki mwilini ataingia bafuni akitoka tu ndio mda wangu wa kumtafuna yeye [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huu mtego umenasa wengi sana. Lete wako tu share experienceView attachment 1088460
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu yupo vzr[emoji23][emoji23][emoji23]we ni konyo mzee baba
Ndio nini hiyo mkuuNauza tupenga njoo itakufaa Sana hii kwa hii kazi yako
Yenye milima na mabondeMaisha ni safari ndefu
Haha haha vita ni ngumu lazima usome mkao wa adui[emoji23][emoji23][emoji23] hii formila n kali sana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Amekukumbusha mbali?Yani hii nchi hadi kuja kuendelea rais afanye kazi kweli kweli sijui tufe wote waje watu wapya da nimecheka sana
Mhhhh unataka kumtafuna na Zero IQ
Pamoja m baba tunafurahia uzima.Yaani leo nimecheka sana,ahsante sana mleta uzi[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]Nikupikie mimi mkuu baharia mzoefu kabisa mkuu Are you Serious?
Haha haha acha kunitisha mpaka anakula kuku wangu ujue ameshafanyiwa utafiti wa kutoshahuyo demu namfaham, ana ngwengwe nakushauri uwahi mapema ukaanze kubwia maharage
Haha haha acha kunintisha mpaka anakula kuku wangu ujue ameshafanyiwa utafiti wa kutosha
Hatufanani [emoji1732][emoji1732]ama kweli nzi hufia kwenye donda