Kiukweli sikumaanisha niwe na mwanaume anayejua kila kitu ila awe anajua vingi kunizidi, mfano unakuta mie nikiambiwa niandie barua ya kuomba passport, naweza nikai draft alone bila kuomba assistance ya mtu, sasa unakuta mwanaume anakupigia simu naomba nidraftie barua ya kitu flani halafu mie ni sign..... wakati unakuta hiho kitu kina muhusu yeye per see, ukimwambia andika niisome anataka muandike wote yaani wewe useme maneno aandike................ aaagghhhr yaani hivo nakosa pose ya kuendelea hata kuongea nae aisee, yaani niko hivo sijui ni ugonjwa labda.....Haswaaaa.....mtu huwezi kuwa unajua kila kitu anachojua mtu mwingine LAKINI kuna mambo mengine ya kawaida sana ambayo mtu unatakiwa kuwa makini mfano kuna wengine hawawezi kuandika sentensi mbili mfululizo bila kukosea, akiandika anachanganya 'r' na 'l', watu wa namna hii mimi binafsi wanaofanya haya daaaah!
Sielewi ni kitu gani Kasinde haelewi! Hivi unajua urafiki ni nini? Urafiki unatokana na hobbies kushabihiana. Siamini kama wewe ni wa unga ukawa na rafiki mlokole. Kama wewe ni mpenda paints lazima utafute rafiki ambaye naye ni mpenda paints
....too unrealistic.....labda sijaelewa maana ya ''zote''...
Kiukweli sikumaanisha niwe na mwanaume anayejua kila kitu ila awe anajua vingi kunizidi, mfano unakuta mie nikiambiwa niandie barua ya kuomba passport, naweza nikai draft alone bila kuomba assistance ya mtu, sasa unakuta mwanaume anakupigia simu naomba nidraftie barua ya kitu flani halafu mie ni sign..... wakati unakuta hiho kitu kina muhusu yeye per see, ukimwambia andika niisome anataka muandike wote yaani wewe useme maneno aandike................ aaagghhhr yaani hivo nakosa pose ya kuendelea hata kuongea nae aisee, yaani niko hivo sijui ni ugonjwa labda.....
date wanaume waliopo kwenye industry unayopenda kama maartist,movie lovers na other sectors unazozipenda hapo ndio utaelewana nao,ila kwa mtazamo mwingine nimekusoma kama vile maisha yako ni ya kimovies movies yaan kama sio ya tanzania culture and its like ur a control freak,rude and unromantic its like sense of manners kwenye love sector imekupitia kushoto(no offence),what i know if u love someone you wont mind yeye akikuuliza maswali in movie theaters au in picture and paint galleries,usipobadilika u will always end up alone,change ur attitude towards people.
Nimekuelewa dada yangu Kasinde,But i think it's a matter of attitude...Quite honestly,Attitude is the deciding factor.It is the crucial difference btn optimism and pessimism...It's the difference btn two contrasting opinions...Kitu muhimu ni kufahamu kwamba hakuna mtu anayejua au kufahamu kila kitu,In this world hakuna ambaye anajua kila kitu kiasi cha kuweza hata kukuzidi ww kwenye kitu flani ambacho una una uzoefu nacho na haijalishi awe Mzungu,Mwarabu au Mswahili zipo nyakati atakazohitaji kukuuliza swali kuhusu jambo flani hata kama hilo swali kwa mtazamo wako ni la kipuuzi...Am so sad to tell you my Kasieeh Mtazamo wako kwa akili yangu ndogo ni Mtazamo usio na tija wala manufaa....All in all Listen your heart.
mleta mada umeongea jambo zito sana, sometimes mwanaume ulomzidi upeo wakuchambua nakutekeleza ataona unamkalia aisee akiongea pumba ukimwambia sio hlo timbwili
So youre always right then?
KASINDE,
SI LAZIMA MTU AJUE KILA KITU, HATA WEWE PIA KUNA VITU HUVIJUI KWA 100%,:wacko:
Kasie nishaomba crash kibao na wewe majibu hadi sasa ni sifuri, ungecrash na mimi wala usingekuja kuandika haya hapa.