Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 22,854
- 32,657
Nchi za Burundi na Tanzania kesho zinatarajia kuzindua ujenzi wa Reli ya kisasa maeneo ya Musongati mkoani Burunga nchini Burundi na kuhudhuriwa na Viongozi kutoka Mataifa yote mawili.
Reli ya kisasa (SGR ) itakuwa ni fursa katika kukuza maendeleo kwa Burundi na Tanzania katika Biashara na usafirishaji wa Madini kutoka Musongati kupitia Bandari ya Dar es salaam.
Kutoka Tanzania viongozi ambao watahudhuria uzinduzi huo ni Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Majaliwa na Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa.
Mbali ya Burundi Reli hiyo itaiunganisha nchi ya DR Congo katika kukuza uchumi wa nchi hiyo na Afrika Mashariki kwa ujumla.
#KitengeUpdates
Japo watu wanapinga lakini bado CCM kwenye maendeleo ni baba lao
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Now east Africa it's going to be connected na Tanzania
Haya ni maendeleo ya kimkakati

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app