Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,272
Ina fanya kazi kama nyote mnaopigiana simu mna Viber (apps). Viber kwa Viber simu ni bure popote duniani pamoja na SMS lakini kama uko sehemu internet haipo fresh, hamsikiani vizuri.
Haaaaaaaaaaa wenye handset za iphone na Android tu ndo wanaweza install viber na lazima uwe na 3G au Wi-fi.................
Mbona mwalimu kaelezea kirahisi tuu,mbona mnaleta maneno ya maana halafu mnatoa maelezo kama mnakimbizwa jamani. Hebu tupe ufunuo hatua kwa hatua.
Haaaaaaaaaaa wenye handset za iphone na Android tu ndo wanaweza install viber na lazima uwe na 3G au Wi-fi.................
Mbona mwalimu kaelezea kirahisi tuu,
Ni hivi wewe na unayempigia kama mnasimu ya ambayo inaweza ku-run program/application ya viber basi mnaweza kuongea bure hata kama mwenzako yuko nje ya nchi.
Kwa kifupi siyo lazima uwe na simu hata kama una ipod ambayo inakamata wifi (internet ya bure) na mwenzio ana ipod/ simu/computer yenye application ya viber au hata skype basi mnaweza kuongea bure.
sioni jipya hapo ni kama skype na skype ukitumia kwenye handset to handset yenye skype mnapiga story kama kawaida ili mradi kuwe na connection nzuri ya internet.
Mpaka sasa sijaelewa....
Mpaka sasa sijaelewa....